Write & Correct
Swahili

Si kila king’aacho ni dhahabu

Si kila king’aacho ni dhahabu. Wakati mwingine inaweza kuwa ni kipande cha chupa tu. Kamwe usidanganywe na mwonekano wa mtu au kitu. Inabidi ufanye kwanza uchunguzi ili ujiridhishe. Ukifanya maamuzi kwa kuangalia mwonekano tu utaumia.

Ni vema kuwa mwerevu katika kila uamuzi uufanyao. Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa. Lakini wewe unayo maarifa. Maarifa ya kutambua si kila king’aacho ni dhahabu.

Edited

Corrections

No Corrections why not add one ?

Feedback